Mataifa yenye nguvu ambayo yanaendelea kuyatambua makubaliano juu ya mpango wa nyuklia wa Iran, yametoa kauli tofauti kufuatia uamuzi wa Iran, kwamba haitotekeleza baadhi ya masharti ya makubaliano hayo. Kupata uchambuzi zaidi msikilize mchambuzi wa siasa Ahmed Rajab akiwa London.