Wanasiasa kadhaa wa upinzani na viongozi kutoka Afrika Mashariki akiwamo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na wengine wa Uganda, Kenya na Namibia, walizuiliwa jana kuingia Angola ambako wanadaiwa kwamba walikuwa wakienda kuhudhuria kongamano la demokrasia lililoandaliwa na chama cha upinzani cha Angola, UNITA