KINYANGANYIRO CHA MAJI SRI LANKA
6 Agosti 2006Matangazo
COLOMBO:
Vikosi vya serikali kisiwani sri Lanka vimeanzisha hujuma mpya za mizinga upande wa chemchem ya maji inayogombaniwa huko Mashariki mwa sri Lanka .hii imetokea masaa tu baada ya vion gozi wa waasi wa TAMIL TIGER kukubali kuruhusu chemchem hiyo kutumika tena