Kinagaubaga: Je, Jenerali Mugisha ataiweza FDC Uganda?
Yusuf, Saumu Ramadhani31 Desemba 2012
Chama cha upinzani cha FDC nchini Uganda kimemchagua Jenerali Mstaafu Mugisha Muntu kuwa kiongozi wake kuchukua nafasi ya Dk. Kize Besigye na sasa suali kubwa linaloulizwa ni ikiwa Jenerali Mugisha ataweza kuijenga FDC!