Zaidi ya asilimia 90 ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa malaria vinatokea barani Afrika. Hatua juhudi za kupambana na ugonjwa huo, mhandisi Julius Twine kutoka Uganda amevumbua njia asilia ya kuwadhibiti mbu wanaoambukiza ugonjwa huo. Tazama ufahamu zaidi.