KABUL Wapiganaji wa taliban wauwawa nchini Afghanistan
22 Juni 2005Matangazo
Wanajeshi wa Marekani wakisaidiana na wa Afghanistan, wamewaua wapiganaji wa taliban wasiopungua 46 kusini magharibi mwa Afghanistan. Msemaji wa jeshi la Marekani, Cindy Moore, amesema mauaji hayo yametokea wakati wa opresheni ya Catania ya kuyaharibu mahekalu ya wanamgambo.