Justin Pierre James Trudeau ni mwanasiasa wa Canada aliyehudumu kama Waziri Mkuu wa 23 wa nchi hiyo tangu 2015-2025 na kiongozi wa chama cha Kiliberali tangu 2013.