Joseph Robinette Biden Jr. ni mwanasiasa wa Kimarekani aliehudumu kama Rais wa 46 wa Marekani kuanzia 2021 hadi 2025. Biden pia aliwahi kuwa Makamu wa Rais na Seneta wa jimbo la Delaware.