Jishindie zawadi na DW!
5 Septemba 2025Matangazo
DW Kiswahili Instagram ni moja ya majukwaa yetu ya mitandao ya kijamii yaliyo na mafanikio makubwa zaidi. Tunalitumia kushirikisha watumiaji wetu maudhui mbalimbali ya elimu na taarifa, yakiwemo picha na video.
Je, unajua akaunti ya @dw_kiswahili ina wafuasi wangapi?
Muda wa mwisho wa kuwasilisha majibu yako ni tarehe 09.10.2025. Mshindi atapokea seti ya zawadi kutoka DW.
Masharti yetu na vigezo (kwa Kiingereza) yanatumika.
Mshindi wa droo iliyopita ni: Stobing O. kutoka Tanzania.