Jinsi Waafrika Kusini wanavyotizama mageuzi ya umiliki ardhi
Afrika Kusini
23 Mei 2025
Kufuatia mkutano na Donald Trump katika ikulu ya White House, rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, anataka kuimarisha uhusiano wa kirafiki na Marekani, na pia kutuliza hofu kuhusu sheria tata ya mageuzi ya ardhi. Lakini Sheria ya Kisasa ya Kutaifisha Ardhi ni nini, na raia wa Afrika Kusini wana maoni gani kuihusu?