Ukistaajabu ya Musa wanasema basi hujayaona ya firauni,kwani ndoa za majini ni maarufu huko China ambako maiti huuzwa ili kutumiwa katika ndoa kati ya binadamu na maiti hiyo. Wenyewe Wachina wanaamini ndoa hizi husaidia kumpa mtu aliyekufa amani katika maisha yake ya kuzimu.Huo ni uhondo utakaousikia miongoni mwa mengine katika kipindi hiki cha Karibuni.