Mamluki wa Urusi wa Wagner wanaoongozwa na Yevgeny Prighozhin walitishia kuuvamia mji wa Moscow na kufanya mapinduzi katika uongozi wa jeshi. Baadaye kiongozi wa Mamluki hao alibadili uamuzi na kufikia makubaliano na utawala wa Putin kwamba ataelekeo uhamishoni nchini Belarus na kwamba wapiganaji wake hawatokabiliwa na mashtaka yoyote. Mohammed Abdulrahman anachambua