Katikati ya mtaa wa Masisi huko jimboni Kivu Kaskazini, mashariki mwa Kongo kunapatikana mji wa Rubaya ambao unajulikana kwa utajiri wa madini ya coltan, manganezi na kadhalika, lakini uchimbaji madini huo umezungukwa na utata. Ni nani anayenufaika kweli na madini yanayoendesha simu na magari yetu? Je, unafahamu mchakato wa uchimbaji madini adimu ya Rubaya?