Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte, alikamatwa hapo jana kwa waranti wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ya ICC akituhumiwa kwa uhalifu wa kibinadamu anaodaiwa kuutenda wakati wa kampeni yake ya kupambana na madawa ya kulevya alipokuwa madarakani.