Mvutano unazidi kupamba moto Marekani, kati ya maafisa wa jimbo la California na utawala wa rais Donald Trump kufuatia kupelekwa wanajeshi kupambana na waandamanaji wanaopinga kukamatwa kwa wahamiaji. Bandio Mubelwa ni mchambuzi wa masuala ya ndani ya Marekani.