Kwa mara ya kwanza Iran Jumatatu imethibitisha hadharani kwamba iko kwenye mazungumzo na hasimu wake katika ukanda wa Mashariki ya kati, Saudi Arabia. Iran imesema itafanya kila iwezalo kuyapatia ufumbuzi masuala yaliyoko baina yao Sudi Mnette amemuuliza Ahmed Rajab ambae ni mjuzi wa siasa za ukanda huo, lipi linalowezekana ambalo Iran inaweza kulifanya?