Katika jamii nyingi barani Afrika, wanawake wanashinikizwa kuanzisha familia. Siku ya Kimataifa ya Wanawake inapokaribia, tunaangazia jinsi mitazamo dhidi ya wanawake inavyobadilika. DW ilizungumza na baadhi ya wanawake katika nchi kadhaa za Afrika. #kurunzi