India na Pakistan zinapambana kwa silaha huku mzozo wa jimbo la Kashmir ukiendelea kutokota. Kwa nini mgogoro wa Kashmir umeibuka tena ? Je, mapambano kati ya India na Pakistan yanatoa muelekeo gani kuhusu mzozo wa Kashmiri? Ipi dhima ya jumuiya ya kimataifa katika kuutanzua mzozo wa Kashmir? Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara.