IEBC yataka Wakenya watulie
5 Machi 2013Matangazo
Mwandishi wa Mombasa anasema kwamba hali ya usalama imeimarika kwenye pwani ya Kenya licha ya hapo jana kuripotiwa visa vya mauaji.
Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mhariri: Mohammed Khelef