HELIKOPTA YANGUSHWA AFGHANISTAN:
24 Novemba 2003Matangazo
KABUL: Maafisa wa Kimarekani wamearifu kuwa helikopta moja imeanguka nchini Afghanistan ikiwaua wanajeshi watano wa Kimarekani.Wengine saba wamejeruhiwa.Kunafanywa uchunguzi kujua sababu ya ajali hiyo iliyotokea karibu na kituo cha kijeshi cha Marekani cha Bagram kaskazini mwa mji mkuu Kabul.