Heiko Josef Maas ni mwanasiasa wa Ujerumani aliyekuwa waziri wa mambo ya nje katika baraza la nne la Kansela Angela Merkel, na alichukuwa wadhifa huo 2018 hadi 2021. Ni mwanachama wa chama cha Social Democratic SPD.